Hi there! How can we help you today?
Stylish Mini Crossbody Women’s Handbag
Mkoba mdogo wa kisasa wa wanawake wenye muundo wa kifahari na kishikio cha dhahabu. Ni mwepesi, rahisi kubeba na unafaa kwa matumizi ya kila siku, matembezi na sherehe. Unapatikana katika rangi mbalimbali za kuvutia.
SKU: SF-2443-L6FN
Categories: Fashion & Beauty
Stylish Mini Crossbody Women’s Handbag
Huu ni mkoba mdogo wa kisasa wa wanawake wenye muundo wa kuvutia na kishikio cha juu cha rangi ya dhahabu kinachoongeza muonekano wa kifahari. Umetengenezwa kwa nyenzo imara yenye texture ya kisasa, ukiwa mwepesi na rahisi kubeba.
Mkoba huu unaweza kutumika kama crossbody, begani au mkononi, hivyo unafaa kwa matembezi, sherehe, outings, safari fupi au matumizi ya kila siku. Licha ya ukubwa wake mdogo, una nafasi ya kutosha kubeba vitu muhimu kama simu, pochi ndogo na vipodozi.
Unapatikana katika rangi mbalimbali za kuvutia, rahisi kuendana na mitindo tofauti ya mavazi. Ni chaguo bora kwa mwanamke anayependa muonekano wa elegant, modern na rahisi kutumia kila siku.
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Please login to write review!
Looks like there are no reviews yet.